Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,328
List kamili hii hapa;
Gareth Bale (Wales), Karim Benzema (France), Diego Costa (Spain), Thibaut Courtois (Belgium), Cristiano Ronaldo (Portugal), Angel Di Maria (Argentina), Mario Gotze (Germany), Eden Hazard (Belgium), Zlatan Ibrahimovic (Sweden), Andres Iniesta (Spain), Toni Kroos (Germany), Philipp Lahm (Germany), Javier Mascherano (Argentina), Lionel Messi (Argentina), Thomas Muller (Germany), Manuel Neuer (Germany), Neymar (Brazil), Paul Pogba (France), Sergio Ramos (Spain), Arjen Robben (Holland, James Rodriguez (Colombia), Bastian Schweinsteiger (Germany), Yaya Toure (Ivory Coast).
Favorites ni walewale Messi na Ronaldo, lakini kuna maswali kama kwanini Suarez, Alonso, Vidal hawapo kwenye list? na kwanini hakuna kiungo au beki yeyote wa Atletico Madrid waliochukua La Liga na kufika fainali ya CL? Iniesta alikua na msimu mzuri kuliko David Silva? Na hivi hii zawadi huwa inaangalia wachezaji wanaocheza Ulaya tu?
Naona FIFA wameiharibu hii zawadi, wangewarudishia wafaransa zawadi yao na wao wabaki na yao ya FIFA World player of the year.
Messi na Ronaldo ni overrated players waliozaliwa kipindi vipaji vya soka vimepotea duniani, pesa ina nguvu kuliko kipaji, ndio maana wakichezea team za mataifa yao wanakosa hata kiwango cha Kalusha Bwalya, hawa jamaa wangecheza katika zama za kina Zizzou, Dinho, Figo, Maldini, Del Piero, Ronaldo de Lima, Rivaldo, Redondo, Riquelme n.k sijui hata kama wangepata zawadi moja