G Gomesa Member Joined Oct 11, 2012 Posts 23 Reaction score 1 Jan 22, 2013 #1 Kesho jumatano kwenye kipindi cha XXL nyimbo mpya Izzo Bizness inayoitwa ball player itazinduliwa rasmi katika nyimbo hiyo amemshirikisha Albert mangwair, quick rocka na mwanadada hatari wa kuimba anayeitwa RUTH . Soma
Kesho jumatano kwenye kipindi cha XXL nyimbo mpya Izzo Bizness inayoitwa ball player itazinduliwa rasmi katika nyimbo hiyo amemshirikisha Albert mangwair, quick rocka na mwanadada hatari wa kuimba anayeitwa RUTH . Soma