Alikabidhi majina ya hizo familia 12 kwa VP baada ya kongamano. Kwahiyo VP na wasaidizi wake tayari wanazifahamu hizo 12 most powerful families in Tanzania.Balile anasema anatishiwa kuawa na hizo familia ikiwa anatambua kuwa hakutaja majina ya viongozi hao hadi sasa na hakuna mtanzania hata mmoja anayezijua familia hizo. Sasa aliyemtishia kumuua ni nani?
Ndio maana watanzania wengi mashaka na hiyo movement watu wanaanza kutaja majina wenyewe alafu wanaibuka tena hao hao kina Balile wanasema Naibu Waziri tuliyemtaja kuruhusu mifugo iachiliwe sio Ulega Naibu Waziri wa Mifugo.Huu ndio unafiki naopinga, TAJA majina Ili hata ukifariki watu wajue A na B mbona Lissu au Dr Slaa walikua hawaogopi kunyoosha maelezo?
Ni sawa na list ya waliokwapua Mali za CCM JPM mwenyewe aliogopa kutaja mpaka anafariki Sasa inasaidia Nini kulindana? Kama huwezi kuwataja basi Kaa kimya.
As much as alikua hajitambui ila Musiba alikua spot on anataja tu directly bila kujali repurcussions.
Wakati wanayakabidhi majina kwanini hawakuichia hiyo orodha kwa wananchi ili kuondoa utata mara waseme wanatishiwa kuuawawa unatishiwa kuuwawa na mtu ambaye humjui na hujamtaja jina?Alikabidhi majina ya hizo familia 12 kwa VP baada ya kongamano. Kwahiyo VP na wasaidizi wake tayari wanazifahamu hizo 12 most powerful families in Tanzania.
Iko kazi kweri kweri !!Huu ndio unafiki naopinga, TAJA majina Ili hata ukifariki watu wajue A na B mbona Lissu au Dr Slaa walikua hawaogopi kunyoosha maelezo?
Ni sawa na list ya waliokwapua Mali za CCM JPM mwenyewe aliogopa kutaja mpaka anafariki Sasa inasaidia Nini kulindana? Kama huwezi kuwataja basi Kaa kimya.
As much as alikua hajitambui ila Musiba alikua spot on anataja tu directly bila kujali repurcussions.
Kila kitu kina taratibu zake mkuu. Serikali ya Samia imejidhatiti ktk kulinda haki za binadamu. Lazima ijiridhishe kwanza na shutuma za Balile dhidi ya hizo familia 12.Wakati wanayakabidhi majina kwanini hawakuichia hiyo orodha kwa wananchi ili kuondoa utata mara waseme wanatishiwa kuuawawa unatishiwa kuuwawa na mtu ambaye humjui na hujamtaja jina?
Sio Serikali itutajie anatakiwa ajaye yeye Balile ili vyombo vyote pamoja na wananchi waungane kujua ukweliKila kitu kina taratibu zake mkuu. Serikali ya Samia imejidhatiti ktk kulinda haki za binadamu. Lazima ijiridhishe kwanza na shutuma za Balile dhidi ya hizo familia 12.
Haiwezi kukurupuka kutangaza majina ya watu kisa tu Balile kayatoa. Who is Balile? Serikali Ina vyombo, lazima vichunguze.
Basi sasa Balile kaamua kutumia hiyo approach ya kuyakabidhi majina kwa serikali ili yachunguzwe kwanza ikijiridhisha yatawekwa hadharani. Vuta subira mwana wane.Sio Serikali itutajie anatakiwa ajaye yeye Balile ili vyombo vyote pamoja na wananchi waungane kujua ukweli
Awataje basi hao mapapa 12 basiMWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri, Deodatus Balile amesema yuko tayari kufa lakini hatoacha kuendesha mapambano ya kulinda Mto Ruaha dhidi ya wakulima na wafugaji walioko kwenye eneo hilo.
Balile anasema yuko tayari kufa baada ya kupokea vitisho vingi baada ya kutaja familia 12 zinazoharibu Mto Ruaha akizungumza na wanahabari leo Disemba 24, 2022
Balile anasema anatishiwa kuawa na hizo familia ikiwa anatambua kuwa hakutaja majina ya viongozi hao hadi sasa na hakuna mtanzania hata mmoja anayezijua familia hizo. Sasa aliyemtishia kumuua ni nani?
Ni nini kilichowafanya mpaka kushindwa kuyataja majina ya Mawaziri, Majaji na Wabunge wanaohusika na uharibifu huo.
Kama wapo unafikiri watatajwa....Alikabidhi majina ya hizo familia 12 kwa VP baada ya kongamano. Kwahiyo VP na wasaidizi wake tayari wanazifahamu hizo 12 most powerful families in Tanzania.
Kweli kabisa,nchi hii wanapenda kufichaficha kutotaja majinaHuu ndio unafiki naopinga, TAJA majina Ili hata ukifariki watu wajue A na B mbona Lissu au Dr Slaa walikua hawaogopi kunyoosha maelezo?
Ni sawa na list ya waliokwapua Mali za CCM JPM mwenyewe aliogopa kutaja mpaka anafariki Sasa inasaidia Nini kulindana? Kama huwezi kuwataja basi Kaa kimya.
As much as alikua hajitambui ila Musiba alikua spot on anataja tu directly bila kujali repurcussions.