Kuna vitu kamwe havipitiBila marudio, wanafurahi na kusema,"Ni upepo tu, utapita!"
Asingedhubutu kumtekenya aliyembeba.kwenye hoja hiyo EL alisemaje?
labda mbele ya msala wa chooni! Uvccm msitufanye sisi ni was..e.nge!!! Muda umewadia mtamleta tu mataahira nyie!
Kwa mawazo yako Lowasa atadhubutu kufungua kinywa?Hata kama ni Marudio ujue jambo hili ni vema tukawa tunakumbushana kila siku ili tusisahau kwa sababu tukisahau CCM wataendelea kutufanya wajinga kila uchwao.Pia mleta mada anachozungumzia kama tetesi ni juu ya Lowasa na kutaka kumwaga siri juu ya hili kitu ambacho sidhani kama unakijua.
balali alishatangulia mbele ya haki, haya mengine ni porojo tu.
unaushahidi wa kifo chake? Unaushahidi wa walau alipozikwa? Hata picha ya kaburi lake tu?We kweli Ni msukule, mtu keshakufa we unataka kumfufua awe hai!, Kamlete wewe basi!
Kwa mawazo yako Lowasa atadhubutu kufungua kinywa?
Balali alishatangulia mbele ya haki, haya mengine ni porojo tu.