Balali atarudishwa Tanzania

Balali atarudishwa Tanzania

Status
Not open for further replies.

Kaka Mtenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
347
Reaction score
87
Wanajamvi,
Amani iwe nanyi.
Kuna tetesi kuwa kete ya mwisho kabisa ya EL ya kuwashinikiza wanaccm kumpa nafasi ya kupeperusha bendera ya ccm kwenye urais 2015 ni Issue ya aliyekuwa Gavana wa BOT.

Kwamba wasipompa nafasi hiyo atamleta Balali nchini ili kuiumbua serikali ya ccm.

Haiingii akilini eti mtu mwenye wadhifa mkubwa kama wa Gavana eti apelekwe kutibiwa nje ya nchi kisha afariki dunia halafu wamtelekeze.

Watanzania tunapigwa changa la macho na serikali ya ccm eti Balali kafa na hawajui alikozikwa tubakubali na tunakaa kimya bila kuhoji.

Kama wasanii tu wanafia nje ya nchi wanarudishwa kuja kuzikwa nyumbani inakuwaje mtu mkubwa kama Gavana maiti yake isionekane?Hapana hapana kabisa hapana lazima kuna jambo limefichwa ili watz tusilijue na sasa El anataka kulisema.

Mbona huyu mwingine aliyefia S.Africa japo nae inasemekana kalishwa kitu kinachosadikiwa kuwa ni sumu mmemrudisha kuzikwa nyumbani?Hii ni kudhibitisha kuwa B yuko hai na amechoka kujificha.

UKWELI UKIZIKWA LAZIMA UTAFUFUKA.

Bado kidogo tu tutabainishiwa ukweli na wanaccm wanaokezwa na serikali yao maana Chacha alikuwa anataka kulimwaga Bungeni WAKAM-TIME.
 
Ujinga wa baadhi ya Watanzania, ni mtaji wa Chama Cha Magamba kuendelea kutawala! Ndiyo maana wanataka iwepo divisheni 5!
 
naona Dr.David Balali huwa ana changia ktk Mwana.hali.si forum,kuna ck alimwambia Dr.Slaa kuwa anatamani sana kufanya nae kazi 2016
 
mbona hoja za uhai wa balali ni marudio mkuu.
 
Balali alishatangulia mbele ya haki, haya mengine ni porojo tu.
 
WATANZANIA BANA, BALALI YUKO UKWENI VENEZUERA. watanzania tunadanganywa kwa peremende tinakubari, then tunadai tuna nguvu ya umma.
 
Uliuona ukizikwa Tanzania mwili wa aliyekuwa waziri wa fedha wa Mwl. Nyerere, Amir Jamal?
 
mbona hoja za uhai wa balali ni marudio mkuu.
Hata kama ni Marudio ujue jambo hili ni vema tukawa tunakumbushana kila siku ili tusisahau kwa sababu tukisahau CCM wataendelea kutufanya wajinga kila uchwao.Pia mleta mada anachozungumzia kama tetesi ni juu ya Lowasa na kutaka kumwaga siri juu ya hili kitu ambacho sidhani kama unakijua.
 
Hahahaha, nimeipenda hiyo semi yako "Ukweli ukizikwa lazima utafufuka" . . . . yapo mengi sio hilo tu mkuu. 2015 utasikia mengi sana labda wapunguzane mapema.
 
Uliuona ukizikwa Tanzania mwili wa aliyekuwa waziri wa fedha wa Mwl. Nyerere, Amir Jamal?

Inaonekana bado iko usingizini maana Mwl.Nyerere hajawahi kuwa na waziri wake wa fedha na kama alikuwepo hatuhusu watz. Labda kama unamaanisha waziri ktk serikali aliyokuwa anaongoza.
 
Wanajamvi,
Amani iwe nanyi.
Kuna tetesi kuwa kete ya mwisho kabisa ya EL ya kuwashinikiza wanaccm kumpa nafasi ya kupeperusha bendera ya ccm kwenye urais 2015 ni Issue ya aliyekuwa Gavana wa BOT.

Kwamba wasipompa nafasi hiyo atamleta Balali nchini ili kuiumbua serikali ya ccm.

Haiingii akilini eti mtu mwenye wadhifa mkubwa kama wa Gavana eti apelekwe kutibiwa nje ya nchi kisha afariki dunia halafu wamtelekeze.

Watanzania tunapigwa changa la macho na serikali ya ccm eti Balali kafa na hawajui alikozikwa tubakubali na tunakaa kimya bila kuhoji.

Kama wasanii tu wanafia nje ya nchi wanarudishwa kuja kuzikwa nyumbani inakuwaje mtu mkubwa kama Gavana maiti yake isionekane?Hapana hapana kabisa hapana lazima kuna jambo limefichwa ili watz tusilijue na sasa El anataka kulisema.

Mbona huyu mwingine aliyefia S.Africa japo nae inasemekana kalishwa kitu kinachosadikiwa kuwa ni sumu mmemrudisha kuzikwa nyumbani?Hii ni kudhibitisha kuwa B yuko hai na amechoka kujificha.

UKWELI UKIZIKWA LAZIMA UTAFUFUKA.

Bado kidogo tu tutabainishiwa ukweli na wanaccm wanaokezwa na serikali yao maana Chacha alikuwa anataka kulimwaga Bungeni WAKAM-TIME.

na mwenyewe EL aache unafki,usaliti na uzandiki mbona hakusema hayo alipokuwa PM hyo ni janja ya kuwalisha unga wa ndele wote ni walewale wamejaa unafiki tu......... Hakuna mwanasiasa mkweli wote wanafiki wataka ulaji tu. Dawa yao ni kuingia msitun tu kuisaka haki kwa mtutu
 
Kwa hiyo akipewa dhamana basi balali ataendelea kupumzika 'kaburini' ughaibuni huko? Kwanini wanasiasa wanatufanya wajinga kiasi hiki?
 
Inaonekana bado iko usingizini maana Mwl.Nyerere hajawahi kuwa na waziri wake wa fedha na kama alikuwepo hatuhusu watz. Labda kama unamaanisha waziri ktk serikali aliyokuwa anaongoza.
Ni waziri wake maana baada ya Nyerere kutangaza kung'atuka Amri Jamal naye alitangaza kutogombea tena ubunge wa morogoro. lakini miezi mitatu kabla ya Nyerere kuondoka madarakani alimteua Amir Jamal kuwa Balozi Uswiss je alimpekea Uswiss akalinde nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom