Balaa ni zito mchepuko kashika mimba

Yaani demu anapata mimba halafu mchizi anachanganyikiwa kiasi kwamba inabidi atulizwe?? Heheheh huyo muhuni anafeli sana.

[emoji1][emoji1][emoji1]aloo
 

Yeah sure exactly
 

Yeah mkuu hiyo good idea
 
Acha huu ushauri mkuu.
Nina ushuhuda mmoja matata Sana
Anayehitaji atanifuata inbox.
Lakini usithubutu kutaka kutoa mimba ambayo ndio imeshatungika.
Kama uwezo wa kulea unao Lea hiyo mimba.

Tupe ushuhuda mkuu watu wajifunze mengi
 
Hakuna balaa lolote hapo jamaa amuoe huyo mchumba wake kimyakimya mambo mengine yatajiseti mbele kwa mbele mbona mimi nina mchumba na ndoa mwakani nimepiga mimba watu wawili na mmoja ni mke wa mtu na niko poa tu nimekula mikausho mikali.

[emoji23][emoji23][emoji23]aaah we jamaa gaidi sana
 

Alitakiwa achanganyikiwe kwa kuwa na mchumba na mchepuko kwa wakati mmoja na sio kwa mchepuko kuwa na mimba

Mwambie aache mchumba ambaye hana mimba ili aoe mchepuko wenye mimba maana kumwacha ni kutelekeza mama wa mtoto wake pamoja na mwanae wa damu
 
Hata mimi sioni cha kukufanya mwanaume uwe mnyonge juu ya hilo.Au anamtegemea kiuchumi huyo anaye taka kumuoa?

Hapana jamaa yuko vizur mbona
 
Si ndio matokeo ya umalaya au alitaka ashike homa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…