Balaa ni zito mchepuko kashika mimba

Mbona hakuna balaa hapo!? Mchumba ndio amkoseshe usingizi!? Au huyo mchumba ndio anamuweka mjini?
 
Umepiga kwny mshono[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue Kuna mambo mengi tunadanganywa na Hawa watu wa dini na tukaacha utamaduni wetu ambao ulikuwa sahihi.

Kipindi Cha kuoa wake wengi kulikuwa hakuna hizi furugu za michepuko sijui Nani.

Hapa jamaa ilikuwa anaoa wote wawili na maisha yanaendelea.
Hakuna kusumbuana.

Tumeletewa habari za mke mmoja zinatusumbua Sana.
Kwenye Biblia kwenyewe hakuna kipengele kimezuia kuwa na mke zaidi ya mmoja.

Na Yesu mwenyewe alisema hakuja kutengua torati Bali kutimiliza.

Hivyo taratibu za ndoa za mitala Wala Yesu hakuja kuzifuta.
Na wanaotuhubiria huwa hawaongelei habari za Yesu kuzaliwa kwa mke mdogo.
 
Alee mimba tu hamna namna lakini pia asogeze ndoa mbele kwa visongizio kadha wa kadha mpaka baada ya mjamzito kujifungua....angalau atakuwa amepata cha kujitetea kuwa hili limetokea kabla ya ndoa.....
 

Kumpa mimba mchepuko imekuwa ni tatizo siku hizi mkuu?,basi wewe hujui matatizo,matatizo ni pale bank wanapiga simu upeleke marejesho halafu huna hata mia na watoto wamefukuzwa ada halafu mzigo hautoki dukani
 
Basi zuieni mimba zisizotarajiwa
 
Hakuna hukumu ya hivi.
Yesu mwenyewe ni uzao wa michepuko.
Bikira maria hakuwa mke wa kwanza wa Yusufu
Basi waoeni mtakaowapenda hata 4

Na uje na mistari kuprove Maria alikua sidechic
Allegation very serious hii
Kama ile ya Ndugai kusema Yesu na mke wake😅
 
Fact
 
Wenye roho za kishetani utawajua ata kwa comment zao....🤣
 
Mbona hata hamna kitu cha kuumiza kichwa hapo!!

Kaka yangu alikua na dem ila hakua na mipango nae alikua anapiga tu, sasa alipopata mchumba wa kuoa akatoa mpaka posa akawa ana subir ndoa tu,

cha ajabu yule mchepuko akanasa mimba alafu huyo mchepuko hakuwa anajua kama bro hana mipango nae ya kumuoa.. me nikamwambia ww kubali lea mimba ila uhame hapo. Akahama akawa ana lea mimba ilipofika muda wa ndoa akaoa na mchepuko haukujua.

Akatafuta sababu za kuachana nae wakaachana ila akawa ana lea mtoto mpka leo leo mchepuko hajui kama jamaa kaoa na mke hajui kama jamaa ana mtoto nje.
 
Mkuu soi rahsi kama unavofikiria

Kauli mbiu tulishasema humu, mlete raifikio hapa ashauriwe.​

Tulishakataa huu uongo wa kuwasingizia marafiki zenu​

Kama ni wewe ushauri ninao.​

​

 
Tatizo dogo hilo; awe muwazi tu kwa huyo mja mzito kuwa ana mchumba, aamue kutunza mimba au aitoe. Na wakubalieni kwenye matunzo, maisha yaendelee
 
Yani kitu kidg hivo jamani ww fanya mambo yako muda utaongea ukianza kuwaza umempa huyu mimba mara huyu pete itaoza kidoleni utakonda na kuumwa
 
Balaa liko wapi hapo sasa kushika mimba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…