Kawaidatu aache mbwemwe
View attachment 2386357
sasa kilichotokea kwabahati mbaya side chick kashika mimba
Sioni Tatizo,
Wanaume wengi tu wamezaa kabla ya kuoa rasmi, hicho Ni kipimo Cha Upendo wa fiance wake kwake.
Kama kweli fiance anahitaji ndoa na jamaa,kamwe hatayumbishwa na Hilo.
Cha muhimu jamaa asionyeshe unyonge, fiance atampanda kichwani.
Asimamie kwamba kaamua kumuoa yeye na sio uyo side chick, Kama hawez aachie ngazi side chick avishwe shella.
Mwanaume msimamo bhana[emoji4]
Watu acheni comment za kinafiki . Sikiliza mwambie huyo jamaa yako sijui wewe atafute MISO kwisha habari au vinginevyo achague moja kuvunja uchumba na huyo mchumba wake abaki na side chick au ajinyonge huyo rafiki yako. Inshu ndogo kama hiyo anachanganyikiwa nini
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
kilichotokea kwabahati mbaya side chick kashika mimba
Mwisho wa uzi ndio ushauri kuntu huuMwambie akatoe posa pia kwa side chick halafu amuoe side chick, avunje ule uchumba wake wa mwanzo na huyu mwanamke wa mwanzo