Poor drainage system! Dar es salaam ni kati ya miji ya hovyo kabisa duniani kwa mipango miji.Hii adha ya maji kutuama mara tu mvua kidogo inaponyesha haitaweza kuisha kwa mpangilio wa jiji hili ulivyo! Baada ya kuisha mradi wa mabasi yaendayo kasi, inabidi waanzishe na mradi wa boti ziendazo kasi kipindi cha mvua ili watu waweze kutoka na kuingia kwenye miji yao!
me siamini ..hata kdogo
View attachment 150066
Jamaa hana hamu na gari hapo
Inaweza isiwe ya hapa bali naomba wanajf wengine wenye picha za kinachoendelea sasa hapa nchini waziweke hapa. Hii ni jana hapo DSM kwa hisani ya gazeti la Mwananchi.View attachment 150089mafuriko Mfanyabiashara ndogondogo katika eneo la Tabata Relini jirani na ofisi za Mwananchi Communications Limited akiwa amekaa juu ya ukingo wa daraja baada ya eneo hilo kufurika maji kutokana na mvua iliyonyesha jana, Dar es Salaam. Picha na Edwin Mjwahuzi
Source
huyo ni Amani Simba kipa wa zamani wa Simba
View attachment 150066
Jamaa hana hamu na gari hapo
life is Short njoo ona hukuuuu....Inaweza isiwe ya hapa bali naomba wanajf wengine wenye picha za kinachoendelea sasa hapa nchini waziweke hapa. Hii ni jana hapo DSM kwa hisani ya gazeti la Mwananchi.View attachment 150089mafuriko Mfanyabiashara ndogondogo katika eneo la Tabata Relini jirani na ofisi za Mwananchi Communications Limited akiwa amekaa juu ya ukingo wa daraja baada ya eneo hilo kufurika maji kutokana na mvua iliyonyesha jana, Dar es Salaam. Picha na Edwin Mjwahuzi
Source