Balaa: Kuna ajali kubwa huko Iwambi

Joined 2023, unataka kutukana wazee wa jf nimekupuuza bure kiddo
Kweli Beibi wangu nina kibarua kigumu cha kukulea, Kesho natengeneza ID nyingine wewe endelea na kujilisha upepo wa kuwa mumeo joined 2023, yaliyako mimi ni mumeo kitambo tu ooooh aya.
 
Kweli Beibi wangu nina kibarua kigumu cha kukulea, Kesho natengeneza ID nyingine wewe endelea na kujilisha upepo wa kuwa mumeo joined 2023, yaliyako mimi ni mumeo kitambo tu ooooh aya.
Heshima yangu humu jf ni kubwa huwa sigombani na vichaa, nashangaa moderator wanakulea sana sijui umewapa nini.
Active, Paw Embu mpeni haki yake huyu kijana maana kila posti yake lazma asindikize na tusi anadhani hapa anachati na wapuuzi wenzie
 
Pale Iwambi ingekuwa China mwezi mmoja tatizo limeshaisha.
Piga Daraja likaloshukia Mbalizi likiwa na four lanes.
 
😂😂😂gwaji biy
 
Lori imefeli Breki likaivaa Hiace
Your browser is not able to display this video.
 
Kwani wakati wa magufuli na waliomtangulia hawakuliona Hilo eneo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…