white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,880
yaani cjui ni mkosi gani tena huu jamani,mi nilinunua pikipiki nikawa bado cjaisajili nikawa nimesafiri,nikamuachia bwana mdogo jukumu na agent aliyeniuzia hiyo pikipiki kufanya mchakato wa kuisajili,cha ajabu niliporudi nikakuta wameshaisajili na kupata plate number T***CCM!huku na yeye anafahamu kuwa mimi ni cdm,na huwa napenda kuvaa magwanda muda mwingi,na hiyo pikipiki sio ya biashara niliinunua kwa minajili ya kui2mia kwa shughuli zangu binafsi ninapokuwa nje ya mji!sasa itakuwaje huku gwanda na plate no.iko hivyo,jana tu wakati nai test nilizomewa mno!!ilibidi nimuulize dogo kulikoni tena umekubali hiyo numba?nilichokuja gundua ni kuwa huyo agent alinifanyia makusudi kwani anafahamu kuwa mimi ni mwana cdm pale mtaani,na yeye alipokwenda tra akakuta ndio namba zilizopo akafurahi sana,ila nimwemwambia bora niiuze tu!kwani gwanda na plate number hiyo wapi na wapi!!mnaosajili vyombo vyenu vya moto kuweni makini sana na hili li number,usijetafuta mchawi wa mambo yako kumbe unalonyuma ya chombo chako cha usafiri!