Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limeipa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tuzo maalum ya Mufti Tanzania, ambayo iliwasilishwa na kupokelewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa niaba ya Rais, tarehe 20 Septemba 2025.
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania amkabidhi tuzo hii Samia, akitambua mchango wake mkubwa katika sekta ya elimu na juhudi zake za kuendeleza elimu na ustawi wa jamii ya Watanzania.
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania amkabidhi tuzo hii Samia, akitambua mchango wake mkubwa katika sekta ya elimu na juhudi zake za kuendeleza elimu na ustawi wa jamii ya Watanzania.