C ChiefmTz JF-Expert Member Joined Apr 15, 2008 Posts 2,942 Reaction score 951 Jul 9, 2011 #41 Zhule said: Point mkuu. kila kukicha matabaka yanadhihirika na hali inazidi kuwa mbaya. Tunakoelekea uongozi pia utatokana na imani zetu za kutaka kujenga uwiano na si uwezo. Hii itakwenda mpaka kwenye ajira. sidhani kama Tanzania tutavuka karne ya 21 salama. Click to expand... Ni kweli kabisa usemalo. Tunakoelekea ni kubaya mno.
Zhule said: Point mkuu. kila kukicha matabaka yanadhihirika na hali inazidi kuwa mbaya. Tunakoelekea uongozi pia utatokana na imani zetu za kutaka kujenga uwiano na si uwezo. Hii itakwenda mpaka kwenye ajira. sidhani kama Tanzania tutavuka karne ya 21 salama. Click to expand... Ni kweli kabisa usemalo. Tunakoelekea ni kubaya mno.