BAKWATA walilaani mauaji ya Mwembe chai?

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,545
550
ukweli ni kwamba DC aliweka kitambaa kichwani hakujifunga na pini. katika hali hii hata upepo unakirusha kila wakati. tukio la kitambaa kilichoegeshwa kumruka kinaonekana kibaya sana hadi bakwata kutoa tamko.

Swali ni je, walivyouawa waislam msikitini mwembe chai bakwata walilaani na kataka kuombwa radhi? Kama kwa mauaji yaliyofanywa eneo la ibada hawakutaka kuombwa radhi inakuwaje mtu amerukwa na hijabu isiyofungwa bakwata iombe radhi kama si kutumika kisiasa?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom