Mr Dudumizi JF-Expert Member Sep 9, 2020 6,885 12,328 May 5, 2021 #3 Kila mwaka naalika watu, sasa mwaka huu na mimi nasubiri mwaliko
Kambaku JF-Expert Member Nov 12, 2011 7,185 26,848 May 5, 2021 #4 msomi uchwara said: Bora iwe alhamisi Click to expand... Hivi huwa ni siku 2 eeeenh, kwahiyo ikiwa alhamisi tutakutana kazini jtatu kutokea jumatano ya tar 12
msomi uchwara said: Bora iwe alhamisi Click to expand... Hivi huwa ni siku 2 eeeenh, kwahiyo ikiwa alhamisi tutakutana kazini jtatu kutokea jumatano ya tar 12
Freiston JF-Expert Member Oct 25, 2020 302 339 May 5, 2021 #5 msomi uchwara said: Bora iwe alhamisi Click to expand... Unapenda kulala sana eeh.... ndo maana uncle alipata tabu sana. Watu kuwa wavivu na kupenda starehe sisizo na kikomo... fanyeni kazi... fanyeni kazi kwa bidii ili msisubiria kufunguliwa kama kuku kwa ajili ya kupumzika kama kuku...
msomi uchwara said: Bora iwe alhamisi Click to expand... Unapenda kulala sana eeh.... ndo maana uncle alipata tabu sana. Watu kuwa wavivu na kupenda starehe sisizo na kikomo... fanyeni kazi... fanyeni kazi kwa bidii ili msisubiria kufunguliwa kama kuku kwa ajili ya kupumzika kama kuku...
Mtafiti77 JF-Expert Member Oct 31, 2011 1,843 2,272 May 5, 2021 #6 Miss Zomboko said: View attachment 1774348 Click to expand... Fanya haraka shekh, swaumu zimekaba huku. Duh!
Miss Zomboko said: View attachment 1774348 Click to expand... Fanya haraka shekh, swaumu zimekaba huku. Duh!