GHOST RYDER
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 1,025
- 475
Ni dhahiri vyombo hivi vya kiimani vimeanza kuyasahau majukumu yake na kutumiwa kufikisha sauti za wanasiasa nyuma ya migongo ya Imani na kutoa matamko katika mambo ambayo hakuna msingi wowote wa kiimani.
Ukweli hakuna dhambi inayoshinda nyingine, lakini kama ni uharaka na umuhimu wa kushughulikia mambo lipi la haraka zaidi kwa kuvuliwa kilemba DC na utovu wa maadili kwa baadhi ya waumini ambao wamerejea rasmi katika maasi baada ya TOBA ya RAMADHAN na hatujasikia Tamko.
Sasa wakati mnaendelea kupamba siasa za Igunga kwa ujira mdogo, usiku wa kuamkia leo waumini wa Dini ya walokole huko Mwanza wamechoma moto kitabu kitakatifu cha QURAN kwa madai ya kutakasa nyumba ya mmoja wa waumini wa dini ya kiislam aliyefanyiwa maombi maalum kumtanzua na kadhia ya maumivu ya miguu yanayomsumbua kwa muda mrefu sasa.
Mama huyo kutoka familia ya Bwana Adam Issa huko lumala Mwanza anadaiwa kufanyiwa maombi hayo hapo jana huku shemeji yake akiwa katika dimba la CCM kirumba kushuhudia mechi ya ligi kati ya Simba na Toto.
Kadhia hii inaelezwa kuleta tafrani kubwa katika hisia za waumini wa dini ya Kiisalm katika Kitongoji cha Lumala na kwamba hatua zaidi zitatangazwa baadaye.
BAKWATA na BASUTA sijasikia mkitoa tamko kuhusu hili licha ya kufuatilia Radio Imani asubuhi yote ya leo baada ya kupokea ujumbe huu kutoka mwanza kwa Shuhuda wa Tukio hili (Ninayemuamini na chanzo changu kwa habari zote za MZA)
My TAKE: Acheni siasa na majukwaa ya siasa yafanye kazi yake ''msichanganye Maandiko na siasa, ni kama Mafuta na Maji ''(MUNISHI)
More Detail to follow
Hii habari vipi. Mbona unahusisha Igunga na mambo ya Mwanza. Vipi uunganishe hayo matukio. Aliyekuwa anaombewa aliridhia kitendo hicho au alilazimishwa??
Kanisa lipi hilo kaka?
Nani atawalipa kukomalia ishu kuchomwa moto koran yao..teh teh..wanalipwa huko igunga ndo mana hawasikii la mwadhini wala...
Kanisa lipi hilo kaka?
Ni dhahiri vyombo hivi vya kiimani vimeanza kuyasahau majukumu yake na kutumiwa kufikisha sauti za wanasiasa nyuma ya migongo ya Imani na kutoa matamko katika mambo ambayo hakuna msingi wowote wa kiimani.
Ukweli hakuna dhambi inayoshinda nyingine, lakini kama ni uharaka na umuhimu wa kushughulikia mambo lipi la haraka zaidi kwa kuvuliwa kilemba DC na utovu wa maadili kwa baadhi ya waumini ambao wamerejea rasmi katika maasi baada ya TOBA ya RAMADHAN na hatujasikia Tamko.
Sasa wakati mnaendelea kupamba siasa za Igunga kwa ujira mdogo, usiku wa kuamkia leo waumini wa Dini ya walokole huko Mwanza wamechoma moto kitabu kitakatifu cha QURAN kwa madai ya kutakasa nyumba ya mmoja wa waumini wa dini ya kiislam aliyefanyiwa maombi maalum kumtanzua na kadhia ya maumivu ya miguu yanayomsumbua kwa muda mrefu sasa.
Mama huyo kutoka familia ya Bwana Adam Issa huko lumala Mwanza anadaiwa kufanyiwa maombi hayo hapo jana huku shemeji yake akiwa katika dimba la CCM kirumba kushuhudia mechi ya ligi kati ya Simba na Toto.
Kadhia hii inaelezwa kuleta tafrani kubwa katika hisia za waumini wa dini ya Kiisalm katika Kitongoji cha Lumala na kwamba hatua zaidi zitatangazwa baadaye.
BAKWATA na BASUTA sijasikia mkitoa tamko kuhusu hili licha ya kufuatilia Radio Imani asubuhi yote ya leo baada ya kupokea ujumbe huu kutoka mwanza kwa Shuhuda wa Tukio hili (Ninayemuamini na chanzo changu kwa habari zote za MZA)
My TAKE: Acheni siasa na majukwaa ya siasa yafanye kazi yake ''msichanganye Maandiko na siasa, ni kama Mafuta na Maji ''(MUNISHI)
More Detail to follow
YESU AKUTUACHIA KAZI YA KUPIGANIA UKIRSTO bali kueneza injili.yesu alisulubiwa msalabani kwa ajili ya dhamb zetu,mitume waliteswa wakieneza injili kuchomwa,kuchinjwa na wengne walisulubiwa sembuse BIBLIA makaratasi.muhim ni Holy Spritcheap labor - Njaa ukiziendekeza unaweza hata mtoa mkeo akawa kitoweo cha mafisadi, sasa leo tunaona mama wa watu kawa mtaji wa watu wanufaike kwenue uchaguzi - waislam msikubali kutumika kwenye hiki kitu kuweni makini na hivyo vyombo vyenu vya kuwatetea.
Masuala ya siasa yabakie kuwa ya siasa na wananchi kamwe msitumiwe na watu wachache kutaka kuwagombanisha - heo hii askofu na joho lake akikutwa anapokea Rushwa kwenye kampeni - je asiguswe hadi police wafike eneo la tukio? Mbunge akikutwa anazini na mke wa mtu kwa kutumia hela za kampeni asikungutwe hadi police wa bunge wafike kwenye eneo la tukio? DC akikutwa anafanya kosa la ki jinai kwenye eneo la kampeni asigushwe wala kuulizwa mpaka police wake wafike?
Leteni udini muone vita intakayoanza kama mtaizima -- leo hii mnaambiwa Qualaan imechomwa moto haya sasa na bado. Kesho mtasikia mtu kachambia kurasa za Biblia takatifu - si mnayaka haya yatokee kwa ushabiki na kuvikuza vitu visivyo na msingi.