Mwenye pesa sio mwenzio kaka,wakati wewe unatafuta nafasi ya kuwaona hao wakubwa kwa udi na uvumba,mwenye pesa ndie hutafutwa,sasa fikiria kama je kuna deal yoyote ya nguvu huyo mzee wa Chamazi anaweza kuikosa?mtu kama Komba tu ameweza kumrubuni waziri mkuu ili serikali zinunue shule zake wakati ni lofa tu sembuse Mzee wa chamazi.Nchi hii ina wenyewe,halafu mazoezi gani hufanya na watu wamevaa kanzu na vibarakashia?sio bule huo mjumuiko una mambo.Ningependa wamshawishimzee wa chamazi kujenga shule nyingi na zahanati ili kushindana na wale wanaoitwa ''wanapendelewa kielimu''kwa kufanya hivyo atakuwa amesaidia kuwapunguzia vijana muda wa kufanya maandamano kwa kuwa wanakuwa wapo wapo tu mitaani,tofauti na wenzao ambao ''hufanya maandamano ya kula kitabu''