TURUFUDUME
Member
- Dec 14, 2014
- 70
- 39
Kwa yeyote ambae yupo karibu nå mfanya biashara huyu namuomba amfikishie kilio chetu kwa niaba ya wapemba wote. Muhishimiwa BAKHRESA unasiwa sana km unawasaidia wanyonge hill lipo wazi kila mtu analiona, lakin kwa upande wetu wapemba bado msaada wako no kero kwetu , usafiri kati ya Unguja nå Pemba no shida sana sana sana nå unalijuwa hili lakini kwa ukorofi wako au watendaji wako badala ya kutusaidia umezidi kutukandamiza , kwa mfano una speed bot zaid ya saba lakin hakuna hats moja inayofanya kazi kati ya Unguja nå Pemba, boti zako zote ni Unguja nå Dar tu umefikia kutowa ofa ya 16000 badala ya 23000 kati ya Unguja nå Dar kwa boti yako ya seabus 3 lakin hutaki kuipeleka Pemba kwa 30000 ili nå wapemba wapate angalau kujipumbaza. Umetuletea meli ya SEALINK1 nå ukasema no kwa ajili ya wapemba badala yake baada ya kutukombowa imezid kutudhalilisha kwa mfano meli hoi inakuja Pemba Mara mbili kwa wiki lakin ukitaka ticket no lazima ukate SKU tati kabla ya safari nå hivo ikienda kukata ticket unaweza ukauziwa Mara mbili ya bei halali nå wafanyakazi wako , hill Tisa kumi melu hii(SEALINK1) inauwezo wa kutembea kwa Massa manner kati ya Unguja nå Pemba lakini inatembea kwa zaid ya Massa 7 kati ya Unguja nå Pemba ili tu upate kuuza biashara yako ya vyakula nå vinywaji kwenye meli yako tena bila ya huruma hujali mule muna wagonjwa wanawah hospitali munawatu wamefiliwa wanawahi mazikoni n.k.Kwa niiaba ya Wapemba wote tunakuomba utuangalie kwa jicho LA huruma mama Wapemba hatuna mtetez serekali imeamuwa kututenga kwa kuamini kuwa wapemba ni wapinzani ingawa said ya %75 ya uchumi wa Zanziba unategemeaa kisiwa cha Pemba lakin huduma zote zinapelekwa Unguja nå kukiacha kisiwa cha Pemba kam yatima. Ukitizama meli za abiria zinazokuja Pemba at a kupakia mbwa wako kama unampenda huwezi lakin kwa vile hatuna nyengine nå tulioweng hatuna uwezo wa kupanda ndege basis tuna fikichana umomo kwenye mameli mabovi.
Basi amii futa machozi yakheee...amikwisha sikia huyo maana huyo bwna ni msikivu ati........punguza kulia.....amiii tena safarii hii atawaletea ndege kabisaaaa.....
Mpe mtu asome ulichoandika alafu umtizame usoni..
Umeandika lugha gani hii!
kipemba .dugu
unajua wentu wamesoma sana ilimu ahera
Una undugu wa karibu na Pdidy ?
Kwa yeyote ambae yupo karibu nå mfanya biashara huyu namuomba amfikishie kilio chetu kwa niaba ya wapemba wote. Muhishimiwa BAKHRESA unasiwa sana km unawasaidia wanyonge hill lipo wazi kila mtu analiona, lakin kwa upande wetu wapemba bado msaada wako no kero kwetu , usafiri kati ya Unguja nå Pemba no shida sana sana sana nå unalijuwa hili lakini kwa ukorofi wako au watendaji wako badala ya kutusaidia umezidi kutukandamiza , kwa mfano una speed bot zaid ya saba lakin hakuna hats moja inayofanya kazi kati ya Unguja nå Pemba, boti zako zote ni Unguja nå Dar tu umefikia kutowa ofa ya 16000 badala ya 23000 kati ya Unguja nå Dar kwa boti yako ya seabus 3 lakin hutaki kuipeleka Pemba kwa 30000 ili nå wapemba wapate angalau kujipumbaza. Umetuletea meli ya SEALINK1 nå ukasema no kwa ajili ya wapemba badala yake baada ya kutukombowa imezid kutudhalilisha kwa mfano meli hoi inakuja Pemba Mara mbili kwa wiki lakin ukitaka ticket no lazima ukate SKU tati kabla ya safari nå hivo ikienda kukata ticket unaweza ukauziwa Mara mbili ya bei halali nå wafanyakazi wako , hill Tisa kumi melu hii(SEALINK1) inauwezo wa kutembea kwa Massa manner kati ya Unguja nå Pemba lakini inatembea kwa zaid ya Massa 7 kati ya Unguja nå Pemba ili tu upate kuuza biashara yako ya vyakula nå vinywaji kwenye meli yako tena bila ya huruma hujali mule muna wagonjwa wanawah hospitali munawatu wamefiliwa wanawahi mazikoni n.k.Kwa niiaba ya Wapemba wote tunakuomba utuangalie kwa jicho LA huruma mama Wapemba hatuna mtetez serekali imeamuwa kututenga kwa kuamini kuwa wapemba ni wapinzani ingawa said ya %75 ya uchumi wa Zanziba unategemeaa kisiwa cha Pemba lakin huduma zote zinapelekwa Unguja nå kukiacha kisiwa cha Pemba kam yatima. Ukitizama meli za abiria zinazokuja Pemba at a kupakia mbwa wako kama unampenda huwezi lakin kwa vile hatuna nyengine nå tulioweng hatuna uwezo wa kupanda ndege basis tuna fikichana umomo kwenye mameli mabovi. SKU hizi kama uko dareslsm unataka kuja Pemba no lazima ulale unguja SKU ya pili ndio. utizame rehma ya mungu km kuna jahazi km kuna day mashua chochote kile ndo ufike Pemba ili mradi wapemb typo mashakani tu lakini INSHAALLAH MUNGU NDIO MUWEZA.
Duuu polee ndo mambo tatizo mkondo shekhe ndo kikwazo huko peleka malalamiko kwa serikali kwanza kisha uje kwa Bakhresa yeye ni mfanya biashara anaangalia faida kijana
Hahahaha umenchekesha sana