Bakhresa na Posta: Msaidie Mzee Small wajameni!

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,341
institution tajwa hapo juu, zimemtumia sana mzee huyu kuzalisha mamilioni ya shilling kwa matangazo yake mazuri ya kuamasisha watu kutumia azam product na posta kiujumla.

Sasa hivi, anaumwa kweli na pesa ya matibabu kwake ni shida sanaaaaa
mzee_small.jpg

pls wakurungezi msaidieni huyu mzee kwani kawatengenezea mipesa kibao
 
lkn hili liwe funzo kwa wasanii wetu kwamba wakumbuke kusave tena siku hizi kuna mifuko ya bima ya afya na pia ipo ya hifadhi za jamii hivyo wajiunge nayo ili waweze kuweka fedha kwa matumizi ya baadae.

sitak kuamini kwamba kaachwa namna hii hata na taasisi ya kuzuia na kupambana na madawa ya KULEVYA??
Kitale naye apige jalamba amsaidie baba yake kimchezo jamani
 
sasa mkuu hayo mashirika yamsaidie vipi wakati alishafanya kazi na kulipwa kwa mujibu wa sheria??.....ishu sio kumsaidia bali liwe fundisho hata kwa wasanii wengine hapa bongo wasijiwekee hazina ya umaarufu tu bali hata katika mambo mengine
 
lkn hili liwe funzo kwa wasanii wetu kwamba wakumbuke kusave tena siku hizi kuna mifuko ya bima ya afya na pia ipo ya hifadhi za jamii hivyo wajiunge nayo ili waweze kuweka fedha kwa matumizi ya baadae.

sitak kuamini kwamba kaachwa namna hii hata na taasisi ya kuzuia na kupambana na madawa ya KULEVYA??
Kitale naye apige jalamba amsaidie baba yake kimchezo jamani

dada yetu umeadimika kweli natumai U mzima
 
sasa ni wakati wa wasanii kutambua thamani zao!!sidhani kama mzee small hakulipwa haki yake!! nampa pole sana
 
Mwache MAJUTO aendelee kuoa na kuacha kila mwezi! muda wake utafika pia!
 
institution tajwa hapo juu, zimemtumia sana mzee huyu kuzalisha mamilioni ya shilling kwa matangazo yake mazuri ya kuamasisha watu kutumia azam product na posta kiujumla.

Sasa hivi, anaumwa kweli na pesa ya matibabu kwake ni shida sanaaaaa
mzee_small.jpg

pls wakurungezi msaidieni huyu mzee kwani kawatengenezea mipesa kibao

Kwani huyu mzee ni nani? mbona mnaleta magumashi yenu humu au mnafikiri kila mtu anashinda jf andikeni kitu kijitosheleze msitafute umaarufu wa mlio wa shilingi sio kila mtu anaujua
 
Ishu sio azam wala posta, alishachukua chake wakamalizana, kama kumsaidia ni wajibu wa kila mja ambae alikuwa akifurahia kazi zake, tena azam na posta wanastaihili pongezi cz waliona uwezo wke wakakubali kufanyanae kazi, kuliko cc wengne ambao hata kazi zake hatukuwah kuzinunua zaid kwenda kuazima mkanda kwa jiran badala ya kununua ili na yy afaidike na wengne waliishia kuzipga copy kaz zake, kwahyo hilo kund ndo limemfilisha hpo alipo, kwahyo tusilaumiane, ifanyike harambee kwa yyte mwenye kugu
shwa esp cc tuliokuwa mashabik wke wakubwa
 
duuu ngoja nianze kuweka akiba katika kibubu change mie uzee unakuja huo
 
institution tajwa hapo juu, zimemtumia sana mzee huyu kuzalisha mamilioni ya shilling kwa matangazo yake mazuri ya kuamasisha watu kutumia azam product na posta kiujumla.

Sasa hivi, anaumwa kweli na pesa ya matibabu kwake ni shida sanaaaaa
mzee_small.jpg

pls wakurungezi msaidieni huyu mzee kwani kawatengenezea mipesa kibao

Mbona kama Le Mutuz
 
Kwani huyu mzee ni nani? mbona mnaleta magumashi yenu humu au mnafikiri kila mtu anashinda jf andikeni kitu kijitosheleze msitafute umaarufu wa mlio wa shilingi sio kila mtu anaujua

Mbona unalalama sana mkuu? Nikiangalia idadi ya post zako inaonesha unashinda JF, bahati mbaya kabisa huyo mzee sijawahi kumwona JF, mitaa ya TV ndiko anakoshinda, ukiwauliza wakina mama na watoto lazima wanamfahamu, mwoneshe picha mwanao umuulize huyu ni nani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom