Bakhresa food products ltd kupunguza wafanyakazi 500

Hili nililisema siku nyingi kuwa itafika wakati makampuni yatapunguza wafanyakazi na ninaamini hili halikwepeki.

Nililisema,kama sikosei,ni katika ule uzi wangu niliyosema Magufuli atapatu kura za vijijini na si mijini kutokana na anayoyafanya yataathiri watu wa mijini.
 
Wapunguzwe waje kwenye VIWANDA vya serikali, nchi hii haiishi vituko walijinasibu wanaondoka kwenye biasha, wakauza mpaka nyumba za serikali leo wamerudi kusema wanataka viwanda sijui na yumba za serikali watarudisha? Kazi kweli kweli halafu hao 500 wakutwe wanacheza pool uwakamate hiyo vita itakayotokea lazima Magufuli atafuta hii kauli ya kamata.
 
Nimecheka sana!
 
Kwa habari za uhakika toka jikoni zinapopikwa,kama inavyojieleza, anapunguza wafanyakazi kwa sababu kuu zifuatazo:
1.kupunguza gharama za uendeshaji
2.kuendana na speed ya serikali ya awamu ya 5 na mengineyo.
bakhresa yeye anajiri na mikataba ya kudumu
lakin ndio maana lazima atangaze kwa kuwa wafanyakazi wana mikatba ya kudum
huku COCACOLA bonite hawana haja ya kutangaza kwa kuwa wengi ni vibarua mhindi akiamka asubuhi vibaya ujue huna kazi
 
Huyu jamaa kuna badhii ya bidhaa zake zimeadimika baathi ya maeneo MF Azam milk
kuna baadhi ya bidhaa nadhani anafanya outsourcing,kutenezewa,nilizioni choklet zake,Azam choklet,duo na omega ile atakuwa kafanya outsourcing nje ya nchi
 
Kama uchumi uko slow,lazima makampuni yapunguze watu,purchasing power ya raia iko chini mno,bidhaa haziuziki,watu wako katika kipindi cha ukapa mkali sana
Sasa hivyo viwanda vinavyokuja masoko yake yatakuwa wapi?
 
Kama uchumi uko slow,lazima makampuni yapunguze watu,purchasing power ya raia iko chini mno,bidhaa haziuziki,watu wako katika kipindi cha ukapa mkali sana
Ukapanization unarudi kwa kasi ya ajabu, sasa utakuwa magunization
 
Back
Top Bottom