Bakhresa anakwepa kodi?


Kule mererani, njoo hapa mererani. Za kuambiwa changanya na za kwako. Kama amekwepa kodi nendeni mkamkamate mumshitaki
 
huyo jamaa afuatiliwe nasikia wafanyakazi wake hajawaajiri wanafanya kazi kama vibarua tunakosa makato mengi
 
Kodi ilipwe na kila mfanyabiashara ambaye ana qualify kulipa kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…