Weka ushahidi wa ukwepaji kodi isije ikawa ni lako jambo! Mtu kuwa na biashara nyingi si kiashirizi za kukwepa kodi..
mkuu naungana na wewe kwa 90%! Ila ujue hakuna mfanyabiashara tz anayelipa kodi kwa 100%. wanaolipa kodi inavyostahili ni wafanyakazi wa serikalini na baadhi ya ofisi binafsi tu.Magufuli Naomba umchunguze huyu bwana mwenye Majengo lukuki nchini, maboti ya abiria, mashamba, viwanda Vya vyakula na vinywaji kedekede, Kama analipa kodi sawa na mapato yake.
Achunguzwe mfumo wake wa uajiri Kama unafuata taratibu na sheria, pia Kama analipa P.A.Y.E Kama inavyotakiwa.
Achunguzwe kwa nini hayuko Kwenye kundi LA walipa kodi wakubwa
Huyu ni mmoja wa waliowekeza kwenye mabadiliko ya kuzungusha mikono. Nini walikusudia kufanya baada ya mabadiliko hayo, wanajua wenyewe.Magufuli Naomba umchunguze huyu bwana mwenye Majengo lukuki nchini, maboti ya abiria, mashamba, viwanda Vya vyakula na vinywaji kedekede, Kama analipa kodi sawa na mapato yake.
Achunguzwe mfumo wake wa uajiri Kama unafuata taratibu na sheria, pia Kama analipa P.A.Y.E Kama inavyotakiwa.
Achunguzwe kwa nini hayuko Kwenye kundi LA walipa kodi wakubwa
Magufuli Naomba umchunguze huyu bwana mwenye Majengo lukuki nchini, maboti ya abiria, mashamba, viwanda Vya vyakula na vinywaji kedekede, Kama analipa kodi sawa na mapato yake.

Siwalaumu, huwezi kuwa na moyo wa kulipa kodi wakati wakubwa wenyewe hawalipi kodi na huna namna yoyote ya kuweza kudhibiti matumizi ya kodi hiyo. Hata hao wafanyakazi wanalipa kwa kuwa hawana namna ya kukwepa.mkuu naungana na wewe kwa 90%! Ila ujue hakuna mfanyabiashara tz anayelipa kodi kwa 100%. wanaolipa kodi inavyostahili ni wafanyakazi wa serikalini na baadhi ya ofisi binafsi tu.