Inawezekana kabisa,keshapewa tenda ya kuendesha mradi wa treni,hapa jijini Dar.
Kwa kuwa nakumbuka jana,waziri wa uchukuzi, Dr Mwakyembe,alitangaza kwenye bajeti yake kuwa,serikali ina mpango WA kubinafsisha,mradi wa treni,jijini Dar.
Kwa mtindo wa serikali hii,ingawa waziri Mwakyembe,ametuambia kuwa kampuni 14,zimebid tenda hiyo,upo uwezekano mkubwa kuwa Bakhresa,keshajibiwa na kuambiwa keshapewa tenda hiyo,hata kabla kikao cha tender board hakijakaa!!
ni kweli Kigogo!na kuchangia gani hadi atoe na directives za hiyo hela itumike wapi!!!
Kaona wahusika na reli hamnazo inabidi aokoe jahazi. Miaka yote kujenga mabarabara tuuu reli hamna kitu; hivi hayo matrilioni ya bajeti ya miundombinu yangeingizwa kwenye reli mwaka huu tupumzike kutafuna kupitia mabarabara badala yake tununue vichwa vya treni na mabehewa tungepata vingapi? si tungemaliza tatizo milele na ajira kibao kupatikana lakini wapi mapesa yanapenyezwa tu kwenye mawizara yenye urahisi wa kuyatafuna na ajira ni kwa vibosileNi kampuni ya SSB imechangia wizara ya uchukuzi USD800,000 ili mabehewa ya treni yatengenezwe.
Anastahili pongezi.
Source: TBC jana.
==================
Ufafanuzi zaidi
==================
Hata madonors wanaotoa misaada huwa wanasema misaada yao ifocus wapi kwa hiyo sio kitu cha ajabu,tumshukuru tu manake keshatupiga bao
KWA MARA YA KWANZA KATIKA HISTORIA YA TANZANIA!
Na huenda ni kwa mara ya mwisho...!
badala ya kusaidia yatima na wasiojiweza anazidi kuwaongezea mafisadi wa ccm ulaji. huu jamaa nahsi hata product zake zitakua ccm ccmAnatafuta misamaha ya kodi huyu maana ni nadra kwa mtu kufanya hivo bure
Kama hamna namna nyingine basi tumshukuru
Bora apewe tu, sisi tunahitaji huduma nzuri