Bakheressa na JK....uso kwa uso.

Big up bakhressa
Wengine wajipange
 
nikiambiwa hiyo studio imegharimu bilion 50,sawa na semi trail kama 100 za ukweli,nachoka kabisaaa

mwenye nacho huongezewa...pesa inafanya dunia inazunguka.
 
itatisha sana ila tu ikiajiri kwa vipaji na taaluma na kuacha udini
 
Nasubili taarifa ya habari Leo,je Bakhresa naye watamweka akizungumza kwa dk 10?,Kama wafanyavyo ITV kwa Mengi?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…