Bak upo wapi nikuone,roho yangu itulie?

Kanikumbusha mbali 'milima haikutani, binadamu hukutana'

Siku ikifika naomba na mie anialike jamani, nitakaa nje tena kimya
umeona eeehhh!
yaani amejitahidi sana ku-maintain status......
wewe masifa yote hayo halafu aje kichwa kichwa? subutuuuuu.....
lazima aingie kistaarabu ati......
 

kwa kweli.....yes indeed!
 
BAK hapa atakuja saa nane usikuuuuuu!
aanze tu kujibu mkiwa macho kodo hiv!
halafu Fixed Point umeona ilivo kazi kujikuna upele wako mwenywe enh!?
angekuwa ametajwa mtu mwingine hapa BAK angeshawekamo ka wimbo ka kumpa moyo anayemtafuta na kuhumiza anayetafutwa akuje!
ahahahhahahhahah lakini sa hiz kanyuuut kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
daadeki!
wapi BAK a.k.a LIFE SAVER!
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuonesha umahiri wake leo atadondosha verse zake mwenyewe,ngoja tuone

ila kweli ndo mana kakaa kimya mda mrefuuuuu!
ehehhehhe una akili sana wewe! BAK enh mi bana ngoja niache makelele najua ilivo kazi kudondosha verse zako mwenyewe!
 
Last edited by a moderator:
ha haaa, anajikuna kwa kubipu......
kistaarabu mbele za watu.....
huko PM sijui kunasemaje!:faint:
 
umesoma between the line Kongosho?
huoni dua hilo la kumwomba Mola?
ni wachache wanaweza tamka direct come this way...
cc. Asprin

Mkwe nimeambiwa umeniita.....

Huyu mwalimu snowhite anasemaje eti?

Hahahahaahaha ngoja ni go zat wei bana.....watu wengine sijui tuna nuksi gani mazali yamegoma kutudondokea kabisaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Mkwe nimeambiwa umeniita.....

Huyu mwalimu snowhite anasemaje eti?

Hahahahaahaha ngoja ni go zat wei bana.....watu wengine sijui tuna nuksi gani mazali yamegoma kutudondokea kabisaaaaaa
ha haaa, nimekuita mkwe umsome snowhite...
mkwe ukitaka kudondokewa anza ku-act kijentlomani, lol!
 
Last edited by a moderator:
BAK
Naomba ule wimbo wa miss Rihanna " where have you been all my life " -πŸ™‚
leo hakyamama hatoi wimbo wowote hata umwambia mabata madogo madogo leo hatoi!
ahahahhahahhahahha wakati zamani walahi angekuimbia hata kwenye mic akurekodie!
LIFE SAVER bana!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…