Bajeti yapitishwa kwa kejeli.

Bajeti yapitishwa kwa kejeli.

Bahimba

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
510
Reaction score
346
Bunge linapitisha bajeti ya mwaka huu kwa kuwakejeli wabunge wa CHADEMA ambao hawapo bungeni,
kila linapoitwa jina la mbunge wa upinzani jibu linatoka MAANDAMANO, wakimaanisha CHADEMA KAZI YAO NI MAANDAMANO, nawakilisha.
 
Kweli,ni sababu ipi kuu iliyowafanya wasiwemo? Wanawakilisha wananchi au matumbo yao na chama chao? Hiki chama siyo kabisa ni majanga tupu
 
Hiki chama sasa kimekuwa ni kero sana,. Ila hakuna namna ccm haipendeki tena,
 
Sijui tumetoka wapi na huu mkosi unaoitwa CCM? Hiki chama kweli ni genge la wahuni tena watafuna nchi. Siku watakapoanguka tu taifa hili litakuwa kama paradiso. Nahimiza kwamba kila mwenye mapenzi mema na nchi yetu aiombee kifo CCM.
 
Nilijua wataacha kilichowafanya wawe pale na badala yake watatafuta njia ya kuwaongelea chadema
 
hata kama wangekuwamo wangebadili nini? Acha wakejeli but 2015 watakuwa kama wamemwagiwa maji na huo ulevi utakwisha bila shaka.
 
Bunge linapitisha bajeti ya mwaka huu kwa kuwakejeli wabunge wa chadema ambao hawapo bungeni,
kila linapoitwa jina la mbunge wa upinzani jibu linatoka MAANDAMANO, wakimaanisha CHADEMA KAZI YAO NI MAANDAMANO, nawakilisha.

Sisi wananchi ndo tunatambua kazi wanayofanya CHADEMA, subirini tuwakabidhi nchi 2015
 
Kwa jinsi sirikali/spika asivyokuwa fair hata wabunge wa cdm wangekuwepo wote bajeti ingepita bora katiba mpya kuwe na kura ya veto ambapo m1 akipinga tu bajeti nzima inakua void mpaka concern zake zirekebishwe au afafanuliwe na yeye aridhie.
 
Bunge linapitisha bajeti ya mwaka huu kwa kuwakejeli wabunge wa chadema ambao hawapo bungeni,
kila linapoitwa jina la mbunge wa upinzani jibu linatoka MAANDAMANO, wakimaanisha CHADEMA KAZI YAO NI MAANDAMANO, nawakilisha.

May be bado wapo na majonzi ya msiba uliosababishwa na magaidi fulani.
 
Bunge linapitisha bajeti ya mwaka huu kwa kuwakejeli wabunge wa chadema ambao hawapo bungeni,
kila linapoitwa jina la mbunge wa upinzani jibu linatoka MAANDAMANO, wakimaanisha CHADEMA KAZI YAO NI MAANDAMANO, nawakilisha.
mimi nilitegemea atakapoitwa mbunge wa ccm kama hayupo wangesema fisadi,bunge lijalo tutawaita ufisadi alafu tuone kama spika atakaa kimwa kama alivyofanya. huyu spika kila walipokuwa wanasema maandamano alikuwa anacheka kama katekenywa
 
Kweli,ni sababu ipi kuu iliyowafanya wasiwemo? Wanawakilisha wananchi au matumbo yao na chama chao? Hiki chama siyo kabisa ni majanga tupu

Wabunge wengi wa CCM wameipinga hiyo bajeti, Je hiyo bajeti itakunufaisha vipi wewe na wazee wako waliostahafu? Hiyo bajeti itamnufaisha vipi shangazi yako anayeishi kijijini pamoja na wajomba zako? Je umesoma na kuielewa hiyo bajeti?
 
Hawa nyumbu , baada ya miaka kadhaa watakuwa vijiweni kwao wakiwaambia watu CDM ndio waliwaponza kuwa wajinga hivyo.Watatumia vitu km kupaniki na kutishika....kwao kila failure in mkono wa CDM..Ndio tabia ya kufiki km mbongo za mashairiki ya kati."Kila kitu kina mkono wa Yahud na Marekani".
 
Ukiona mtu anaacha mambo yake ya msingi anaongelea kitu flani....akiwa chooni...CDM.akiwa anakula CDM....akiwa kanisani au msikitini ...CDM akiwa na mkewew au mumewe ...CDM ....ujue huyo CDM inammaliza KISAIKOLOJIA BILA KUJIJUA...CCM CDM INAWAMALIZA KISAIKOLOJIA NA NI HATARI KWENU LAKINI BARAKA KWA TANGANYIKA YETU
 
niliwasikia na nikawacheka sana nikasema kwel hawa ni matahira
 
Yaani haya majitu yanayojiita ccm pale bungeni ni aibu tupu.....yaani yenyewe hata spika akijamba yanapiga makofi ndo hiyo jamii ya mwigukuneti wasira......
 
Bunge linapitisha bajeti ya mwaka huu kwa kuwakejeli wabunge wa CHADEMA ambao hawapo bungeni,
kila linapoitwa jina la mbunge wa upinzani jibu linatoka MAANDAMANO, wakimaanisha CHADEMA KAZI YAO NI MAANDAMANO, nawakilisha.

Hata Nyerere alikuwa akiandamana kipindi anadai Uhuru wa Tanganyika. Wakati Wakoloni wako kwenye Vikao walimdhihaki namna hii hii! CCM haitakaa madarakani milele! Enyi Wabunge CCM open up your mind and think about tomorrow!
Itakua aibu muda na saa ikiwadia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hivi hawa wabunge wa ccm mna pepo au mna nini..sipati jibu hata sita,lowasa ,membe na mkono mpo hivyo?
 
Back
Top Bottom