Undule Lumuli
Member
- Mar 24, 2025
- 6
- 5
Habari wana Jamvi
Leo nilipata wasaa wa kusikiliza Hoja ya Mh Selemani Jafo(Mb) Waziri wa Viwanda na Biashara ambapo Bunge limeidhinisha maombi ya shilingi Bilioni 135 kwa mwaka wa Fedha 2025/2026
Lakini kuna jambo limenishangaza sana
Kwanza Mh alikuwa anachapia karibu Hotuba nzima yaani anaongea haraka mpaka huelewi hapa alikuwa anamaanisha nini
Kubwa zaidi ni Bajeti ya Wizara imejadiliwa for Only Three hours yaani Three hours Naibu Spika akafunga mjadala hoja ikaungwa mkono
Wizara nyeti kama hii Saa nne mpaka saa saba imekwisha... Seriously? Hivyo sasa Wabunge wanavyochangia ndio huelewi kabisa....hii nchi Wonders shall never end wallah....aliyeturoga alikufa