Erick Makungu
Member
- Jan 14, 2018
- 87
- 121
Bajeti ya Wizara ulinzi ya Marekani ambayo imeombwa na rais Donald Trump kwa mwaka huu in dola bilioni 700,China dola bilioni 173,Urusi dola bilioni 178,juzi juzi Urusi kupitia Raid wake Viradimir Puttin amejigamba kuwa jeshi la nchi take kwa sasa bora kupita Nchi yoyote duniani baada ya kuzindua kombora la masafa marefu huku akijinasibu kuwa ni kombora la kisasa ambalo linaweza kupiga popote pale duniani,ukichukua bajeti ya China na Urusi ukachanganya pamoja hata Nusu kwa Marekani haifiki,sijajua hapo imekaaje kwa Urusi anayejinasibu kuwa na Jeshi bora wakti hata Nusu ya bajeti kwa Marekani haifiki,naomba kueleweshwa ndugu zangu kwenye hili,naimani humu kuna watu wana upeo na ujuzi kwenye maswala haya ya kijeshi