Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,144
- 162,541
Duh hatariIlikuwa ni kujiosha tu!
waonekane wanafanya Kazi sana kumbe kiki tu.
Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania inatarajia kuwa na bajeti ya shilingi trillion 31.6 katika mwaka Mpya wa bajeti 2017/2018.
Ambapo fedha za maendeleo zimeongezeka kutoka trillion 11.8 mwaka 2016/2017 mpaka kufikia shilingi trillion 11.9 kwa mwaka huu Mpya wa bajeti 2017/2018 ambapo ni sawa na wastani wa 38% ya bajeti yote tarajiwa.
Nini maoni yako kwa bajeti hii inyotarajiwa ukilinganisha na bajeti iliyopita .
Je maeneo yapi yanajitaji kutiliwa mkazo katika bajeti hii Mpya.
Hakuna kitu hapo!unaongeza budget halafu chanzo cha mapato ni kuomba omba huku unajisifu nchi tajiri!Kwa jinsi anavyonunua ndege kama pipi tutegemee maumivu hata kama budget ingekua 50trillionSerikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania inatarajia kuwa na bajeti ya shilingi trillion 31.6 katika mwaka Mpya wa bajeti 2017/2018.
Ambapo fedha za maendeleo zimeongezeka kutoka trillion 11.8 mwaka 2016/2017 mpaka kufikia shilingi trillion 11.9 kwa mwaka huu Mpya wa bajeti 2017/2018 ambapo ni sawa na wastani wa 38% ya bajeti yote tarajiwa.
Nini maoni yako kwa bajeti hii inyotarajiwa ukilinganisha na bajeti iliyopita .
Je maeneo yapi yanajitaji kutiliwa mkazo katika bajeti hii Mpya.
Ya mwaka huu itakuwa na upungufu wa trillioni 30 hapo sasa! Muziki kunoga!ya mwaka jana mpaka sasa hivi ina upungufu wa trillion 5
Huyo hapo juu ni Daudi Albert Bashite; au?!
Tell me something: Una uelewa wowote kuhusu masuala ya uchumi na government budget?!Jiongeze kwani mwaka umeisha??? Itapatikana tu acha kuropoka kabla ya muda
Ya mwaka 2016/17 ilikuwa trilioni 29 Mkuu!Kutoka 22 tr mpaka 31tr? Ngoja tuone.
Fedha za maendeleo zimetoka Trillion 11.8 mpaka kufika Trillion 11.9 hivi hawa watu wanaumwa kichaa au ni nini