Bajeti ya mwaka 2011/2012 iliyopitishwa

Bajeti ya mwaka 2011/2012 iliyopitishwa

Mpendwa

Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
56
Reaction score
11
Ndugu zangu wana JF nisaidieni nakala ya bajeti ya mwaka 2011/2012 ambayo ilifanyiwa marekebisho kidogo na kupitishwa na Bunge. Ninayo nakala ya Mkulo pekee ambayo ina mapendekezo tu, lakini ninahitaji ile iliyokuwa amended na kupitishwa. asanteni wadau.
 
Wewe tafuta tu Finance Bill ya 2011; nakala ile ya awali ya bajeti ilipitoshwa bila mabadiliko
 
Back
Top Bottom