glory to yhwh
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 1,019
- 1,413
Hivi kumbe UTT unaweza kuweka mpak 100k mi nilijua kuanzia 1mUkiwa unalipwa 400k na huna familia, yan home alone
Mchanganuo pendekezi huu hapa
Utanishukuru baadae
100,000 Akiba (weka utt)
40,000 Sadaka
80,000 Kodi ya nyumba
80,000 chakula
50,000 usafiri
50,000 mahitaji mengine
Sadaka,
unamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwapa wahitaji au popote unapoamini
Kodi
Haipaswi kuzidi 20% ya kipato chako
Chakula
Haipaswi kuzidi 20%
Hemea kwa jumla
Weka stock ya vyakula kama dagaa, hulali njaa
Usafiri
Panga karibu na eneo la kazi
Au sehemu ya gari moja
Akiba weka utt
Ukifikisha hata 600,000, weka mpunga stock, ni gunia kumi hizi
Lazima uwe bahili hasa, nidhamu sana
Ongezea kama kuna kitu nimeacha
Au tupe uzoefu zaidi tujifunze
Laki nne ni ndogo sana Kodi tu 400k 🤣🤣Kwa darisaladi laki 4 ni mkikimkiki
Kodi 20% hahahaUkiwa unalipwa 400k na huna familia, yan home alone
Mchanganuo pendekezi huu hapa
Utanishukuru baadae
100,000 Akiba (weka utt)
40,000 Sadaka
80,000 Kodi ya nyumba
80,000 chakula
50,000 usafiri
50,000 mahitaji mengine
Sadaka,
unamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwapa wahitaji au popote unapoamini
Kodi
Haipaswi kuzidi 20% ya kipato chako
Chakula
Haipaswi kuzidi 20%
Hemea kwa jumla
Weka stock ya vyakula kama dagaa, hulali njaa
Usafiri
Panga karibu na eneo la kazi
Au sehemu ya gari moja
Akiba weka utt
Ukifikisha hata 600,000, weka mpunga stock, ni gunia kumi hizi
Lazima uwe bahili hasa, nidhamu sana
Ongezea kama kuna kitu nimeacha
Au tupe uzoefu zaidi tujifunze
Hatari hata tuseme tayari una nyumba mbezi mwisho then kazi ni kule Morocco daily! Utajua hujui!Laki nne ni ndogo sana Kodi tu 400k 🤣🤣
Amekwambia 20% ya kipato chako. Mbona ni kawaida. Ukiwa unaingiza 400k kodi ni 80k chumba single kizuri tu. Ukiingiza 700k, kodi 140k hapo unapata chumba masta na sebule baadhi ya maeneo alafu hapo upo bila familia. Ukisema 20% ni ndogo watu watakushangaaKodi 20% hahaha
Hauko serious Mkuu [emoji1787][emoji1787]
Kodi dar Ni ghrama sana
Mkuu, kuliko kutoa hiyo 40000 yote kwenye sadaka,mie nashauri ni bora kugawa viatu na nguo zako zilizokubana kwa wahitaji. Hii itareplace nafasi ya 40k(ubahili mwanzo mwisho kudadeki)
Hiyo itasaidia mwenyezi Mungu kubariki nipate pesa nyingi ili ninunue nguo mpya na za zamani nipeleke kwa wahitaji. Inakua kama cycling
Kianzio 100k baada ya hapo 10k na kuendeleaHivi kumbe UTT unaweza kuweka mpak 100k mi nilijua kuanzia 1m
[emoji3]Kodi 20% hahaha
Hauko serious Mkuu [emoji1787][emoji1787]
Kodi dar Ni ghrama sana
Bajeti kaliSasa hii baraka gani tena 😂😂 yani wewe uvae mpya afu used utoe sadaka
Unamshukuru Mungu aliyekupa kipato hicho kwa kuwapa wahitaji,Sadaka unampelekea mwamposa ale alafu unasema umetoa kumshukuru mungu
Unapendekeza ngapi mkuu na tupunguze wapiKwenye chakula umebana sana.