Bajeti ya Kenya ni zaidi ya bajeti ya nchi zote za EAC zilizobaki, (Tanzania + Uganda + Rwanda + Burundi).

Tanzania ndio nchi pekee ktk ukanda huu wenye budget deficit ndogo, Kenya kati ya 3.1Trl. Budget deficit ni 607.8B, hii ni sawa na 20% ya bajeti yote. Huu ni ukichaa wa hali ya juu Sana.
Tanzania ndio nchi pekee ktk ukanda huu wenye wanapewa grands and donations from western countries and also from Kenya. Tz is not called LDC for nothing.
 
Tz - Ksh 600b - Misahada 49% - population 60 million - GDP $60b

Ke- Ksh 1.2 trillion - Misahada 5% - population 45 million - GDP $100b

Wenzako wanaojua ukweli hutowaona hapa wako kwenye nyuzi za kujiliwaza, hawapendi ukweli au uhalisia was mambo. Natumai wewe sio moja wao.
Kenya's revenue is actually 1.8tri and not 1.2tri. Remember that is thrice more than that lazy nation with abundant of natural resources and also with productive landmass twice larger than Kenya. This lazy nation also has more people than Kenya, longer coastal line than Kenya. In conclusion, this lazy state is a combination of two countries which are Zanzibar and Tanganyika, one depends on sorcery and witchcraft as its economic activity.
 
Hahahaha , Teargass i'm on the floor mbavu inauma .
 
Tanzania ndio nchi pekee ktk ukanda huu wenye wanapewa grands and donations from western countries and also from Kenya. Tz is not called LDC for nothing.

So, Kenya is not receiving grants (u wrote grand, what's that???) and donations?
 
Bajeti za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zilizosomwa Juni 13, 2019:

Kenya: TZS 67.2tril ($29.2bn)

Tanzania: TZS 33.1tril ($14.3 bn)
Uganda: TZS 21tril ($9.1bn)
Rwanda: TZS 7.4tril ($3.2bn)
Burundi: TZS 1.9tril ($824m).

(33.1 + 21 + 7.4 + 1.9)Tril = TZS 63.4tril ($27.4bn)

Pongezi kwa Kenya, pongezi kwa rais Uhuru Kenyata kwa uongozi bora na siasa safi.
Ukiangalia vizuri unao Uganda hawako mbali na Tzn
Tzn inakwama wapi kuwa level ya Kenya Hadi Uganda anatufukuzia hivyo?
 
Duh hii ni aibu kwakweli. Yani bajeti ya Kenya ni mara 2 ya ile ya Tz na chenchi juu.

Pamoja na kwamba % kubwa inaishia mifukoni mwa watu ila hii inaonesha tuko nyuma kiasi gani
Huo ndio ukweli wa waungwana,Kenya iko mbele sana siku Tzn ikijafikia uchumi wa kenya nadhani dalili za kujipiga kifua kwamba nchi imeendelea zitakuwepo
Only thing Kenya wanatakiwa kufanya ni kudhibiti rushwa tu otherwise kwa ukanda huu ni heavy weight sana,ukweli mchungu
Angalia kenya ndio investors wakubwa kwenye nchi zote za Africa mashariki na kati,hii tu inaonyesha ni kaka mkubwa
 
Kenya's revenue is actually 1.8tri and not 1.2tri. Remember that is thrice more than that lazy nation with abundant of natural resources and also with productive landmass twice larger than Kenya. This lazy nation also has more people than Kenya, longer coastal line than Kenya. In conclusion, this lazy state is a combination of two countries which are Zanzibar and Tanganyika, one depends on sorcery and witchcraft as its economic activity.
😆😆😆😆 Umezidisha kupondea japo huu ndio ukweli
 
Ukiangalia vizuri unao Uganda hawako mbali na Tzn
Tzn inakwama wapi kuwa level ya Kenya Hadi Uganda anatufukuzia hivyo?
True lakini unajua Uganda waliongeza bajeti aslimia 23% kulinganisha na mwaka wa kifedha uliopita na Tz iliongeza asilimia 3% tu. Maybe Uganda's proportion of debt to GDP imepanda juu zaidi pia sababu wamekopa zaidi to finance this budget.
 
Back
Top Bottom