Hii ndio tunapenda kule uchaganiSuzuki Escudo 1st Gen.. Hii inakubali mateso.. Unaweza bebea hata majani ya ng'ombe..
Aweke bajeti kiasi ganiRactis sio rahisi kwa bajeti hiyo..!
Corolla na Starlet utapata nzuri..!
Passo.. Vits.. Swift.. Nzuri zinacheza kwenye 4M+ mpaka 5M..!
PremioNina 13 ninunue gari gani? Naomba ushauri.
Kama ni mnazi nunua vitz, nunua terros kids, na kama unajielewa vuta haraka mazda demioNina million 5 nahitaji gari kupanda milima na mabonde, kupita kwenye lami na rough road bila shida
Suzuki Escudo 1st generation 4wd yake ni hatari. Old is goldNina million 5 nahitaji gari kupanda milima na mabonde, kupita kwenye lami na rough road bila shida