kukumweupe
JF-Expert Member
- Apr 18, 2020
- 439
- 599
Mbunge wa bukoba vijijini ambayepia ndio katibu wa wabunge wa ccm ametufukuza kazi walimu wote wa rweikiza school tuliokwenda kumshtaki kwa mkuu wa mkoa na kuwadanganya wale wa dar es salaam kuwa amewapanga wabunge wa ccm na kuwambia nini wasema mpaka serikali ikubali kubeba mzigo huo wa kuwalipa mishahara walimu wote wa shule binafsi wakiwamo wa shule anazo miliki ,st Anne Marie ,sun shine ,brilliant na hii ya hapa bukoba ya rwikiza ambayo inatumia jina lake.
Sisi walimu wa hapa bukoba ametufukuza wote baada ya kwenda kumshtaki kwani tangu mwaka huu uanze hajatulipa hata mia na wale wa kule dar es salaam amewambia atawafukuza kama sisi ikiwa wataendelea kumsumbua .sisi tutapambana naye mpaka kieleweke tu.
Akiwawahutubia walimu wa shule zake zilizopo jijini dar na pwani mbunge huyu ambaye ni mdhurumaji amesema kuwa wabunge wote wa ccm watakoa changia bajeti ya elimu amewambia nini waseme na wapambane mpaka serikali ikubali kuwalipa la sivyo bajeti haitapita kwani huo ndio msaada kwa walimu wake ,kwa wale waliotazama bunge siku ya ijumaa watakumbuka wabunge kama mwijage ambaye ni raifiki yake alivyoshupalia jambo hili na kesho ndio bajeti itapigiwa kura il.
Walimu wa shule za st maria ya huko dar es salaam .sun shine kibaha ,brilliant na hapa bukoba hazijalipwa kwa miezi mitatu huku sisi hajapewa hata shilling tangu mwaka huu uanze huku wazazi wamelipa pesa na ametufukuza baada ya kumshtaki kwa mkuu wetu wa mkoa Gaguti
Kesho waziri Ndalichako atasulubiwa na wanaccm wenzake ambao pesa wanakula na hawataki kutulipa,
Tusubili kesho
Kukumweupe
Sent using Jamii Forums mobile app