Bajeti ya Afya imetenga kiasi gani kuhusu uzazi wa mpango?

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
ummy.jpg

KESHO Alhamisi, Mei 12, 2016 Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, anatarajiwa kusoma Bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2016/17.

Bajeti hiyo, ambayo itajadiliwa kwa siku mbili, inasubiriwa kwa hamu na Watanzania wengi, hususan walio vijijini, ili kuona kama Serikali ya Rais John Magufuli imezingatia maeneo mengi yenye changamoto kwenye sekta hiyo kama alivyoahidi wakati wa kampeni.

Ingawa mpaka sasa juhudi kubwa zimefanywa na serikali hiyo, lakini changamoto ya upatikanaji wa dawa na vifaa tiba katika zahanati za vituo vya afya vijijini bado kubwa.

Soma zaidi hapa=> Bajeti ya Afya imetenga kiasi gani kuhusu uzazi wa mpango? | Fikra Pevu
 
Back
Top Bottom