Bajeti hamjaisikiliza wala hamjaisoma imeshasemwa mara nyingi kuwa deni la taifa linahimilika na kwamba kuongezeka kwa deni siyo kwa sababu ya kushindwa kulipa bali ni kwa sababu ya miradi muhimu iliyoingia Serikali hivi karibu kama vile:-Miradi ya maji, umeme, gesi, mabasi yaendayo haraka, Afya km. Mlongazila, kituo cha tiba ya moyo, mbarabara, madaraja makubwa nk. Na miradi mingine muhimu mfano wa hiyo nyie mmekaa kama makasuku kuimba deni la taifa! Deni la taifa! Deni la taifa! Kama vile hizo huduma haziwahusu? Ama kweli "mtaji wa mjinga ni majungu.Binafsi sio mtaalamu wa uchumi lakini suala la serikali kufilisika linaonekana wazi.
Hapa serikali kutokea vyanzo vyake vyote pamoja na kuwakaumua wavuta sigara na walevi ina uwezo wa kukusanya kama trillion 10, wakati huo huo inadaiwa kama trillioni 40 (probably kufikia mwishoni mwa mwaka). Kama tunavyojua mpaka kamati ya bajeti kufikia sehemu na kusema kuwa "serikali haina ubunifu na haishauriki" kigezo kwamba uwezekano wa kuongeza mapato ni kidogo lakini deni na interest yake vinaongezeka!
Je, hata mtu asiyejua uchumi au mwanafunzi wa darasa la nne haoni kuwa huku ni kufilisika!? ...hivi si wanasema rais alisoma uchumi UDSM!?