Bajeti 2019/2020

Bajeti 2019/2020

Davety

Member
Joined
Dec 14, 2018
Posts
76
Reaction score
70
Hii ndiyo bajeti ya kuelekea mwaka wa uchaguzi je zile ahadi za jpm kuwafurahisha wafanyakazi wakati ndiyo umefika??????

Au girisi itaendelea kuadimika adi vyuma vivunjike???

bcbd5215-0b20-496a-97ba-9d8f1ba66ca2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama anahitaji kura ya mbongo yeyote. Akiutaka uraisi ataupata tu. Lakini hata kama uchaguzi huru utafanyika, kwani hamuwajui wabongo? Mara ya kwanza hata kabla hajachukua form ya kugombea alishawahi kuahidi akipata uraisi wabongo watalimia meno na bado wakamchagua ili walimie meno kwa bidii
 
Back
Top Bottom