pikipiki na bajaj ilishafutwa mudaVip kuhusu pikipiki?
Kasome bajeti mkuu utapata kila kituVip kuhusu pikipiki?
Bora umejisaidia kujibupikipiki na bajaj ilishafutwa mda
Ni kawaida yao kwa vile wamekaririshwa kuwa upinzani ni kupinga kila kitu cha SerikaliAsante kwa ufafanuzi maana kuna watu wengine kila kits cha Serikali wanakiona katika negative way.
Ukweli kuna unafuu mkubwa mfanio kwangu mimi natumia lita 60 kwa mwezi (TZA 120,000) ina maana road license ni TZS 40 x 60 x12 = 28,800 badala ya TZS 200,000. Hata hivyo napata shida kwani nililipia road license 29/5/2017 ambayo itaisha 28/5/2018 hivyo kwangu mimi imekula.Nimeona mitandao ya kijamii inapotosha hasa kwenye ukurasa wa UKUTA.
Upotoshaji: Kuna ongezeko la shilingi 300 kwa kila lita. UKUTA
USAHIHI: Kuna ongezeko la shilingi 40 kwa kila lita soma kipande cha hotuba ya Waziri hapo chini.
Jiridhishe kwa kusoma Hotuba ya Waziri sehemu ya 69(ii)
Myatake: Tunapotosha ili iweje?
View attachment 521534
Mkuu wewe ndo uliposti ule uongo kule fb?Umetumwa!!?
Lipa kodi acha kutapatapa wewe.CCM iliondoa load licence kwa bodaboda na sasa imerudisha load licence kwenye mafuta wakiwemo na boda boda.
Mkurupuko uliokomaa
....fb ndo wap we gambaMkuu wewe ndo uliposti ule uongo kule fb?
Montana una matatizo wewe unaita watu gamba....fb ndo wap we gamba
Ufipa....fb ndo wap we gamba