Bajaji yangu imepata ajali- ushauri pls!!

GAMBLER

JF-Expert Member
Nov 22, 2009
303
11
Habari wakuu
Kama saa mbili zilopita yaani saa tano usiku, dereva wa bajaji kanipigia simu akaniambia kuwa amepata ajali
amegongana na tax, bajaj imeumia sana na yeye kachunika tu kidogo, na hiyo bajaj na tax ziko polisi
nikamuuliza nani ana makosa akaniambia hawezi kujua mpaka polisi watoe report
kwa sababu wamepima
Sasa wakuu kabla asubuhi sijaenda kituoni nilikuwa naomba ushauri
wenu kuwa hakutakuwa na tatizo nikienda huko, nilikuwa nimekata insurance ya third part, na endapo dereva wangu ataonekana ana makosa nitatakiwa nimlipe
mwenye tax? naomba mnishauri
 
Back
Top Bottom