INAUZWA Bajaji kwa bei chee

abuuh yazeed

Member
Nov 4, 2016
50
95
Habar za humu wadau. Ninauza bajaj kwa bei nafuu. bajaji imetumika kwa mwaka 1 tu. Sifa zake:
Aina ya bajaji ni 4stroke
Imetembea 25800km
Bei 3.5milion
Ina vibali vyote pamoja na bima.
kwa mawasiliano zaid pamoja na ufafanuzi kuhus beim nipigie kupitia. 0712268339 nipo daresalaam
Haina shida kwenye injini
Na inatembea mpaka sasa
Unaruhusiwa kuja na fundi ili kujiridhisha kama itakuwa na dosar au laa...!! Nimekuwekea na picha hapa chini ili uione.


1482313522394.jpg
1482313542770.jpg
1482313565138.jpg
1482313501410.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom