bajaji inahitajika

bajaji inahitajika

Yusuph2

Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
59
Reaction score
10
wakuu nahitaji Bajaji : bajeti yangu ni 2500000 iwe kwenye hali nzuri
mawasiliano yangu 0752737919
0785151618
 
Mkuu iyo ni milioni 25 au milioni 2 na laki 5? Km ni milioni 25 huna haja ya kuomba utaftiwe nenda mjengoni kwa baniani wakakupe bajaji muuuuupyaaaaa kabbisa
 
nipo mbeya mkuu lakini ikipatika hada dar naweza kuifuata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom