M Mr. Masasi Member Joined May 12, 2011 Posts 53 Reaction score 4 Feb 11, 2012 #1 Mana ajira hakuna, na kiwango changu ni chini ya hyo hela mwenye nayo au anatarifa anisaidie angalau nijiajiri. Ahsanteni
Mana ajira hakuna, na kiwango changu ni chini ya hyo hela mwenye nayo au anatarifa anisaidie angalau nijiajiri. Ahsanteni
La Cosa Mia JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 271 Reaction score 127 Feb 11, 2012 #2 hakuna kinachoshindikana..wadau watakuja sasa hivi kuwa na subira.....
PrN-kazi JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 2,900 Reaction score 445 Feb 11, 2012 #3 bajaj(matairi matatu)kwa bei yako hakuna: kama unataka kujiajiri njoo nikupe ya kwangu(2stroke) kwa wiki niletee 80elfu na kwa miezi 10 baada ya hapo utanipa M2 nikuachie jumla.
bajaj(matairi matatu)kwa bei yako hakuna: kama unataka kujiajiri njoo nikupe ya kwangu(2stroke) kwa wiki niletee 80elfu na kwa miezi 10 baada ya hapo utanipa M2 nikuachie jumla.
Duduwasha JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 5,701 Reaction score 3,664 Feb 11, 2012 #4 Ninazp Mbili zipo kwa fundi zote 2 stroke kama umemaanisha njoo nikuuzie moja!
Masika JF-Expert Member Joined Sep 18, 2009 Posts 723 Reaction score 30 Feb 13, 2012 #5 Nipigie nikupe dili 0713473166
Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,668 Feb 14, 2012 #6 kama uko mosh nipigie ninayo toyo ya tairi mbili nauza lak 9 kwa maelezo call 0763651341
K Kiumbe duni Senior Member Joined Dec 3, 2011 Posts 100 Reaction score 8 Feb 18, 2012 #7 Mbona jamaa kaingia mitini?. Kama una m 1.5 nitafute nina 2 stroke inatembea. Haina tatizo.