Bajaji chini ya milioni je zinapatikana?

Bajaji chini ya milioni je zinapatikana?

Mr. Masasi

Member
Joined
May 12, 2011
Posts
53
Reaction score
4
Mana ajira hakuna, na kiwango changu ni chini ya hyo hela mwenye nayo au anatarifa anisaidie angalau nijiajiri. Ahsanteni
 
hakuna kinachoshindikana..wadau watakuja sasa hivi kuwa na subira.....
 
bajaj(matairi matatu)kwa bei yako hakuna: kama unataka kujiajiri njoo nikupe ya kwangu(2stroke) kwa wiki niletee 80elfu na kwa miezi 10 baada ya hapo utanipa M2 nikuachie jumla.
 
Ninazp Mbili zipo kwa fundi zote 2 stroke kama umemaanisha njoo nikuuzie moja!
 
kama uko mosh nipigie ninayo toyo ya tairi mbili nauza lak 9 kwa maelezo call 0763651341
 
Mbona jamaa kaingia mitini?. Kama una m 1.5 nitafute nina 2 stroke inatembea. Haina tatizo.
 
Back
Top Bottom