grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Mkuu Zamaulid nadhani hoja yako haijafanyiwa utafiti wa kutosha.naam,longi time!si unaona hata namba yake yenyewe, ATC litakuwa mali ya shirika la ndege la tanzania!!!
Nafikiri umeshawahi kuona gari zenye Plate No. series ya B (i.e BBA, BDC etc) ni vimeo hata kimeo chenyewe kimesingiziwa. Kama bado hujafanya utafiti tunaweza kukusaidia.