BAJAJ YA MILION MOJA(Tsh 1M)

BAJAJ YA MILION MOJA(Tsh 1M)

Masika

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2009
Posts
723
Reaction score
30
Helo Jf
Baada ya kufanikiwa kuuza used bajaj tatu, two stroke three wheeler, sasa imebaki moja na nauza kwa bei ya punguzo.
Kwa Tsh mil 1 unapata bajaj inayofanya kazi vizuri,tairi mpya,engine block mpya na imelipiwa bima,kadi original ipo

Kwa wachuuzi inafaa pia kwa kuwa unaweza kuuza kwa 1.5 kama huna haraka maana iko katika hali nzuri,safari bado zipo wanasema!

Kwa madereva ambao mnaendesha bajaj za maboss wenu ni muda muuafaka kuchukua kitu hii upige vichwa mpaka ununue mpya

Kama kawa nitumie msg /pm au twanga 0787883059

Location: Dar es salaam kinondoni
 
He kuna mtu alikuja kuikagua na akaniachia advance sasa kaingia mtini na namba yake haipatikani sasa namsubiri kwa muda asipotokea naiuza, ndugu kama uko humu ni pm tusije kulaumiana
 
Mimi mwenyewe nauza TVS KING yangu kwa 3.8MIL Bado mpya(T....BME):0713698405
 
Na mie nina TVS KING bomba kabisa 3.5Mil ina miezi 10 reg T BPH nitwangie 0658228240
Compreh. insur ina ngao nyuma
 
weka picha tuone kama bado muonekano wake unalipa
 
hii biashara imeingia kirusi nini? mbona kila mtu anauza bajaji yake, au bajaji inayozungumzwa ni kitu kingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom