PROF MUDI DULA
Member
- Oct 29, 2012
- 86
- 4
Tunauza bajaj kwa shilingi milioni 6 kila moja. Kwa atakayenunua nyingi zaidi tutampunguzia bei zaidi.
Tupo DSM,TMK mawasiliano 0653422776
prety number ni nini........?
Ni namb za usajili mfano T 123 ABC
Tunauza bajaj kwa shilingi milioni 6 kila moja. Kwa atakayenunua nyingi zaidi tutampunguzia bei zaidi.
Tupo DSM,TMK mawasiliano 0653422776 au mudiduladula@yahoo.com
Aiseee, lakin sio kosa lako mkuu, si vema ukilaumiwa
Plate number,sio prety number.prety number ni nini........?
Ni namb za usajili mfano T 123 ABC
Prety na plate,maama tofauti.Acheni kukomalia minor issues like typing or pronunciation error, kwani ikiandikwa prety badala ya plate hamjaelewa nini? Wabongo kwa misifa lakini utendaji O.
Kajipange upya. Kuna chimbo zinauzwa 5.7milion. Ukinipa hiyo 6m nakuletea bajaji mpya na change ya laki 3.
Kifupi natafta mtu wa kufanya naye hii biashara make me sina uwezo wa kuinunua kwa hivi sasa.
Nhna bodaboda 2 nimezipata hivi karibuni.
Hivo basi kama kuna mtu aje anunue bajaji kisha tuingie mkataba wa miezi 12 me nifanye kazi ya kumrudishia milioni 11 ndani ya huo muda wa miezi 12. Kifupi namhakikishia kabla ya huo muda kwa maana ndani ya miezi 8 mpaka hapo kwenye deadline tunakuwa tumemalizana kisha mzigo unakuwa wangu.
Niko hapa dar eneo ninaloendeshea lina shida ya usafiri na bajaji zipo chache sana hazikidhi mahitaji.
Prety namba????????
Prety number?????????
Pretty Avatar Mugabe,kweli wewe ni sheeeeeda,achia nchi.
Upo wapi mkuu? Bado unahitaji?Kajipange upya. Kuna chimbo zinauzwa 5.7milion. Ukinipa hiyo 6m nakuletea bajaji mpya na change ya laki 3.