INAUZWA Bajaj inauzwa

bonjov

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
532
1,320
Bajaj MC 459 CDG
Ipo Makumbusho, nilipaki muda mrefu (4 month) Sana sababu ya usumbufu wa hesabu kwa madereva usimamizi ni changamoto kwangu.
Haijawahi funguliwa engine hata kidogo.
Ina Bima inaisha mwezi wa 5 2021

Matengenezo:
Matairi 2 ni vipara kubadilisha

Bei Milion 5,000,000 negotiable kutokana na matengenezo

Mawasiliano
0743727328
Mmiliki hakuna.

 
Ushauri wangu ulivorudia Rangi ungebadili na matairi ili "iwe mpya" kote. Maana sasa ni wazi matairi na body haviendani, hapo ndipo inaonyesha kua pengine hata body ilikua imechakaa sana ukaamua kurudia rangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…