safariwafungo
Senior Member
- Apr 26, 2008
- 116
- 51
Duh...
Hope huta kula million moja 1,000,000 kwa ajili ya Bajaj Business Plan ukamwacha jamaa na 11,000,000.
MJ
Duh...
Hope huta kula million moja 1,000,000 kwa ajili ya Bajaj Business Plan ukamwacha jamaa na 11,000,000.
MJ
Start with one you fool! do not invest all yr monry first...kuwa kama wahindi their success is caution ...frst invest reap and invest agian..and you wll be filthy rich!!!!!!!!
Hata Kuku wanamlipa sana ila awe na wasimamizi makini.....na mradi endelevu.....pia hata bajaj zitamlipa na kumtoa pia....ni ujasiliamali mdogo mdogo....unafaa sana sana
Unaonaje muheshimiwa na milioni zake 12 akaungana na yule bwana wa ppale BENJAMINI MKAPA EXPORT ZONE mwenye milioni 16 na kuinvest kwenye kitu cha adabu zaidi na bila shaka tutapungunza malalamiko ya bidhaa fake kwa kuthamini vyetu.
Matusi ya nini sasa?..
good idea ila bajaj zipo nyingi sana kwa sasa kulinganisha na tax, so kuwa makini na hiyo biashara
babu hayo mahesabu kama vile mungu mnaishi nae nyumba moja na kakuhakikishia miaka mitatu utakua mzima tuu na vibajaji havijapata accidenti wala kugonga mtu wala kubamiza mecedes benzi au shoo ya gari yoyote ya gharama na kukuletea madeni badala ya faida?ushauri mzuri anza na kimoja kutest zali maana hivyo vitatu na vyote vikifululiza kuleta matatizo badala ya faida si utadataUzuri wa biashara hii, unarudisha mtaji wako in one year time, the second year 16,000,000 mfukoni third year 16,000,000 4th year unauza hizo bajaj for 10,000,000.
So you can make a 42,000,000 profit in 3years time na kumbuka biashara hii haihitaji usimazi mkubwa toka kwako, wewe ni kumake sure jamaa wanakuletea hela yako kila week.
Mnaonaje.
Kweli wa tz sio wabunifu,yaani bajaj zilivyo jaa na wewe unaenda funga foleni???????milioni 12 but ubunifu sifuri.fuga kuku basi
babu hayo mahesabu kama vile mungu mnaishi nae nyumba moja na kakuhakikishia miaka mitatu utakua mzima tuu na vibajaji havijapata accidenti wala kugonga mtu wala kubamiza mecedes benzi au shoo ya gari yoyote ya gharama na kukuletea madeni badala ya faida?ushauri mzuri anza na kimoja kutest zali maana hivyo vitatu na vyote vikifululiza kuleta matatizo badala ya faida si utadata
Risk lazima uchukue kwenye biashara na mambo mengine mengi.
Hii kitu ikiamua kunitunuku KONDOM sivai kabisa kaka....unaona raha ya Risk.
Hi! i think you real need an assiatance in entrepreneurship as well as bznees kwa ujumla, kimsingi mkuu hatua ya kwanza huwa ni generation of bznes idea and then una fanya screening kupata at least the three best ideas halafu yanafuata mengine kupitia bznes planning, resource mobilization etc or otherwise if you dont mind plz let contanct via safariwafungo@yahoo.com/+255 (0) 713 764589 at any time, your welcome!
...Mndee, Bajaj unaangalia pancha tu, vipi mzee change akiipitia si ndio kwisha kazi?? Kila biashara ina uzuri na ubaya wake.Ni juu ya mhusika mwenyewe kupima faida na hasara..Good luck!Mkuu usiangalie faida tu angalia na risks, kuku wakipata kideri imetoka, Bajaj ikipata pacha unapeleka kwa fundu mwendo mdundo!
..Mkuu hapa kweli unaweza mtu kuamua kujitoa mhanga tu ukala chuku chukua basi mambo mengine mbele kwa mbele...Huyu dada yuko bomba..Nashangaa huwa hazeeki??Risk lazima uchukue kwenye biashara na mambo mengine mengi.
Hii kitu ikiamua kunitunuku KONDOM sivai kabisa kaka....unaona raha ya Risk.
..Mkuu hapa kweli unaweza mtu kuamua kujitoa mhanga tu ukala chuku chukua basi mambo mengine mbele kwa mbele...Huyu dada yuko bomba..Nashangaa huwa hazeeki??
Risk lazima uchukue kwenye biashara na mambo mengine mengi.
Hii kitu ikiamua kunitunuku KONDOM sivai kabisa kaka....unaona raha ya Risk.
...Mndee, Bajaj unaangalia pancha tu, vipi mzee change akiipitia si ndio kwisha kazi?? Kila biashara ina uzuri na ubaya wake.Ni juu ya mhusika mwenyewe kupima faida na hasara..Good luck!
..Mkuu hizo tikiti maji peke yake ni mgogoro haki ya nani.....MJ chukua 5