HahaahhahahaaahNajitolea saruji mfuko mmoja
Mkuu jengo lenyewe umeliona? Huo mfuko mmoja sijui una thamani gani lakini kama nii cement ninayoijua, basi nakushauri chukua hiyo hela nenda kampe aliyefunga swaumu asiye na uwezo.Najitolea saruji mfuko mmoja
Ni mwanzo tu, watajitokeza wengine wa kuniunga mkono, itapatikana saruji nyingi zaidi na vifaa vingine Vya ujenziMkuu jengo lenyewe umeliona? Huo mfuko mmoja sijui una thamani gani lakini kama nii cement ninayoijua, basi nakushauri chukua hiyo hela nenda kampe aliyefunga swaumu asiye na uwezo.