Basi fahamu leo kuwa hii ni baiskeli ya kivita ilitumiwa na wajerumani kipindi cha vita ya 2 ya Dunia.
Baiskeli hii matairi hake hayana tube ndani ya kujaza upepo (tubeless) yenyewe popote inakanyaga.
Daaa kumbe wachina walikua wananitapeli kila mwezi naziba pancha gu phonex gwangu kumbe baskeli ya huko jeremani haihitaji tyubu aggggh nilichelewa sana
ππππ